RAIS WA ZANZIBAR AIZINDUA BOTI MPYA YA KAMPUNI YA AZAM MARINE YA KILIMANJARO VII - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 27 November 2019

RAIS WA ZANZIBAR AIZINDUA BOTI MPYA YA KAMPUNI YA AZAM MARINE YA KILIMANJARO VII

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizindua Boti Mpya ya Kisasa ya Kilimanjaro VII, ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferreis na Azam Marine Ndg. Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa wakishuhudia uzinduzi huo wa Boti hiyo uliofanyika katika eneo la Hoteli Verde Mtoni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, (kulia kwa Rais ) Mwenyekiti wa Makamupuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk. Ali Mohamed Shein,na(kushoto kwa Rais ) Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe.Balozi.Mohamed Ramia Abdiwawa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said  Salim Bakhressa. wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya  Azam Marine.Ndg.Abubakar Aziz Silim, akitowa maelezo ya Boti hiyo baada ya hafla ya Uzinduzi huo uliokanyika katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Nahodha wa Boti ya Kilimanjaro VII.Ndg.John Mkwiche, akiwa katika chumba cha kuongozea boti  wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi huo uliofanyika leo 27-11-2019.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia kwa Rais) wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII,  baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo,27-11-2019, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza, Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azma Marine.Ndg. Said Salim Bakhressa wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII baada ya kuizindua leo katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
BAADHI ya Wageni Waalikwa wakihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kilimanjaro VII, uliofanyika leo katika viwanja vya ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia hafla hiyo (hayupo pichani)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilinjaro Fast Ferries na Azm Marine. Ndg. Said Salim Bakheressa, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar akihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kilimanjaro VII, uliofanyika leo 27-11-2019.
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries Ndg, Abubakari Aziz Salim, akitowa maelezo ya kitaalam ya Boti ya Kisasa ya Kilimanjaro VII, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti hiyo uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.(Picha na Ikulu)    

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad