Rais Dkt. Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kahama - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 27 November 2019

Rais Dkt. Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kahama

 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kahama mkoani Shinyanga.
 Wananchi wa Kahama wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika Wilaya hiyo wakati akitokea Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad