KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA MAMLAKA YA MASOKO YA MITAJI NA DHAMANA PAMOJA NA SOKO LA HISA JIJINI DAR ES SALAAM - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 21 October 2019

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA MAMLAKA YA MASOKO YA MITAJI NA DHAMANA PAMOJA NA SOKO LA HISA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus Mkama akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
 Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Moremi Marwa akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Soko hilo.  
 Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus Mkama akizungumza mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge wakati Kamati hiyo ilipokutana na Watendaji wa Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Meneja katika Ofisi ya Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Emmanuel Nyalali akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti jinsi soko hilo linavyofanya kazi Jijini Dar es Salaam. PICHA NA BUNGE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad