Rais Dkt. Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Apson Mwang'onda - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 5 September 2019

Rais Dkt. Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Apson Mwang'onda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Apson Mwang'onda anayepatiwa matibabu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad