MSEMAJI WA JESHI LA POLISI NCHINI ATOA SOMO KWA TAASISI YA KUTOA ELIMU YA AMANI TANZANIA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 6 September 2019

MSEMAJI WA JESHI LA POLISI NCHINI ATOA SOMO KWA TAASISI YA KUTOA ELIMU YA AMANI TANZANIA

 Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, SACP David Misime akizungumza na wajumbe wa Taasisi ya Kutoa Elimu ya Amani Tanzania hawapo pichani lengo likiwa ni kuwafundisha wajumbe hao juu ya namana ya kukabiliana na wavunjifu wa amani na namna ya kutatua matatizo yanayoweza kuwa na madhara makubwa kwa jamii kabla hayajatokea, kikao hicho kilifanyikia eneo la Mbagara wilayani Temeke jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Fimbo Hotel.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, SACP David Misime akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Taasisi ya Kutoa Elimu ya Amani Tanzania njee ya ukumbi wa fimbo hotel na kushoto kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho ya Jeshi la Polisi SACP Kiyondo na kulia kwa SACP Misime ni Rais wa Taasisi hiyo Willison George. (Picha na Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad