HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 20 July 2019

WAZIRI NDALICHAKO ATEMBELEA BANDA LA PSPTB KWENYE MAONESHO YA TCU

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akipata maelezo kuhusu Bodi ya wataalamu wa ununuzi na Ugavi (PSPTB)kutoka kwa  Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa PSPTB, Shamim Mdee alipotembelea banda la bodi hiyo wakati wa kufunga maonesho ya 14 ya TCU yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akipokea vipeperushi vya Bodi ya wataalamu wa ununuzi na Ugavi (PSPTB)kutoka kwa  Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa PSPTB, Shamim Mdee alipotembelea banda la bodi hiyo wakati wa kufunga maonesho ya 14 ya TCU yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad