HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 15 July 2019

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA 16 WA KIMATAIFA WA ELIMU MKOANI TANGA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu Sabastian Kolowa  kanda ya Afrika Bishop Dkt. Stephen  Munga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa walipokutana kwenye Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe. Baadhi ya washiriki wa  Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education (IASE)wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga. .  Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huo.  Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad