HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 30 July 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WACHEZAJI TIMU YA SOKA YA NAMUNGO NA KUWAKABIDHI MIPIRA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 30, 2019 amekabidhi   mipira ipatayo 30 kwa timu ya soka ya Namungo. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akimkabidhi kocha Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thierry , moja kati ya mipira hiyo baada ya kuzungumza na wachezaji kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi.  Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Mjini,na kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Shaibu Ndemanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya soka ya Namungo, baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi Julai 30, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya soka ya Namungo, baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi Julai 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad