Waziri Mkuu afungua Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Dodoma - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 27 June 2019

Waziri Mkuu afungua Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Dodoma

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mvinyo, katika banda la Benki ya Maendeleo (TIB), kwenye Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Dodoma, lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Juni 27.2019. Tokea kushoto ni Meneja Maendeleo ya Biashara (TIB), Joseph Chilambo na Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati (TIB) Patric Mongela.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa mkoba uliyobuniwa na Wajasiriamali wa Kitanzania na Meneja Mzalishaji wa Fay Fashion Gregory Mlay, kwenye Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Dodoma, lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Juni 27.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, wakati akikagua mabanda, kwenye Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Dodoma, lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Juni 27.2019.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

1 comment:

  1. Hongera sana othman michuzi kwa habari za kweli na uhakika, Hii ni blog pekee iliyobaki Tanzania, Pia nilitaka kuwajulisha watanzania wenzangu kuwa kuna mtandao unalipa kwa kupost mambo ya kielimu bonyeza jina langu hapo kushoto kwenye komenti hii ujifunze zaidi. sasa mitandao ya kijamii inalipa

    ReplyDelete

Post Bottom Ad