HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 10, 2019

SPIKA JOB NDUGAI AMKARIBISHA SPIKA WA BUNGE LA RWANDA JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille alipowasili leo katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kulia) akimtambulisha Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille kwa watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati alipowasili leo katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia), Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (wa tatu kulia), Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa nne kulia), Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai (kulia), Waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia ngoma zenye asili ya kigogo baada ya kumpokea Spika wa Bunge la Rwanda tukio lililofanyika leo katika katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
 Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille walipokutana leo katika Ofisi za uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akicheza ngoma zenye asili ya kigogo tukio lililofanyika leo katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma, Baada ya kumpokea mgeni wake Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille aliewasili leo Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akifurahia jambo na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille wakiongozana wakati alipowasili leo katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kulia) akimsikiliza Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille walipokutana leo katika Ofisi za uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille akizungumza na viongozi wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) walioongozwa na Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson pamoja na ugeni kutoka Bunge la Rwanda tukio lililofanyika leo nyumbani kwa Spika Ndugai Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad