HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2019

RAIS DKT MAGUFULI KATIKA PICHA ZA KUMBUKUMBU BAADA YA KUWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA NA KUSHUHUDIA AIRTEL WAKITOA FIDIA NA MCHANGO BINAFSI WA MWENYEKITI WAKE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Makatibu Wakuu na Naibu Katubu Wakuu katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba kabudi na timu ya majadiliano ya Serikali katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal na timu yake ya majadiliano (nyuma ya Rais) katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal na timu yake ya majadiliano (nyuma ya Rais) na wawakilishi wa kampuni zote za simu nchini katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na ujumbe wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na ujumbe wa TRA katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (nyuma ya Rais) na ujumbe wake katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na Ujumbe wa TCRA katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wa pili kushoto0 na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma (wa tatu kulia) na ujumbe wa Msajili wa Hazina Bw. Athumani Selemani Mbuttuka na ujumbe wake katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (wa pili kulia) Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bw. Charles Edward Kichere (wa kwanza kulia) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Edwin Paul Mhede (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 10, 2019. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad