HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 19, 2019

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi, Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rukia Kassim Ahmed, Bungeni jijini Dodoma, Juni 19, 2019. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Mhandisi Edwin Ngonyani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 19, 2019.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Namtumbo, Vita Kawawa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni19, 2019. Katikati ni Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akijadili jambo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile (katikati), Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad