HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 13 June 2019

DKT. MPANGO AWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA BAJETI YA MWAKA 2019/20Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akiwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kusoma Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2019/2020 Jijini Dodoma, Juni 13.2019.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akisoma Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13.2019.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad