HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 9 March 2019

RAIS MSTAAFU KIKWETE, RC MAKONDA NA WAZIRI MWAKYEMBE WAHANI MSIBA WA KIBONDE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM, Efraim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, leo Machi 9, 2019.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa alieyekuwa mtangazaji wa Clouds FM, Merehemu Efraim Kibonde leo Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Machi 9, 2019. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitoa pole kwa Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga alipowasili nyumbani alieyekuwa mtangazaji wa Clouds FM, Merehemu Efraim Kibonde leo Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Machi 9, 2019. Kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad