HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 22, 2019

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Tanzania Nchini Zambia Balozi Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar  leo 22-3-2019, kwa mazungumzo na Rais.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 22-3-2019(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Balozi Hassan Simba Yahya, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo,22-3-2019.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad