HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 1 February 2019

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini Ndg. Tewodros Girma alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Balozi wa Ethiopia nchini, Mhe. Yonas Yosef Sanbe (katikati) alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini Ndg. Tewodros Girma
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe (katikati) alipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini, Ndg. Tewodros Girma
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia nchini Mhe. Yonas Yosef Sanbe alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia nchini Ndg. Yonas Yosef Sanbe (wa pili kushoto) alipomtembelea leo tarehe 1 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa Spika wa Bunge, Ndg. Said Yakubu na kulia ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini, Ndg. Tewodros Girma
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad