HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 4 February 2019

MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akizungumza Bungeni nakuiomba  Serikali  kutoa tamko kuhusu ambazo imeshachukua kuhusu hali ya mauaji ya watoto Mkoani  Njombe kabla ya Bunge hilo kuhairishwa wiki hii.
 Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akijibu maswali mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Faustine Ndugulile akijibu hoja mbalimbali za Wabunge leo Bungeni  Jijini Dodoma.
  Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge leo Bungeni Jijini  Dodoma.
 Waziri wa  Katiba  na Sheria Mhe.Palamagamba  Kabudi  akiteta Jambo na Waziri wa Madini Mhe.Doto Biteko  leo  Bungeni  Jijini Dodoma.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama , wakifuatilia mijadala inayo endelea Bungeni Mjini Dodoma Februari 4/2019 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mwenye suti nyeusi, akisalimiana na Mbunge wa kuteuliwa, Abdalah Bulembo. kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Shinyanga.Azza Hamad , Bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad