HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 19 February 2019

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Ofisi  ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo, Februari 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Ofisi  ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo, Februari 19, 2019.  Wapili kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Februari 19, 2019. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na wapili kushoto ni Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad