HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 4 January 2019

RAIS DKT. SHEIN AUFUNGUA UWANJA WA MAO ZEDONG ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua Viwanja vya Mpira Vipya vya Uwanja wa Mao Zedong's Zanzibar, wakati wa ufunguzi wa Uwanja huo akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Michezo,Utamaduni na Sanaa Zanzibar Omar Hassan King,ikiwa ni shamrashara ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar, Ndg. Omar Hassan King, kabla ya kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Uwanja wa Mao Zedong's Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika viwanja hivyo vipya.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Uwanja wa Mao Zedong's baada ya kuufungua rasmin leo Zanzibar, akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Vijana,Michezo, Utamaduni na Sanaa Zanzibar.Ndg.Omar Hassan King.

 BALOZI Mdogo wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, akizungumza wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Uwanja wa Mao Zedong's Zanzibar, na kutowa Salama za Nchi yake wakati wa ufunguzi huo uliofanyika leo, 3-1-2019.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Michezo wa Mao Zedong's Zanzibar, hafla hiyo imefanyika leo jioni 3-1-2019.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi ya Zheng Tai Group, iliojenga Uwanja huo Mr. Pan Yang, wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Uwanja huo.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad