HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 1 January 2019

IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA KANISA BAPTIST KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mchungaji wa Kanisa la Baptist Kinondoni,Samweli Kabonaki akiongoza ibada ya kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019 iliyoanza saa tatu usiku na kufika tamati saa sita usiku.
 Kwaya ya vijana ya Kanisa la Baptist Kinondon  B  wakiimba nyimbo za kusifu na shangwe wakati wa mkesha wa mwaka mpya Dar es Salaam.


Baadhi ya waumini wa kanisa la Baptist Kinondoni wakipeana mikono na Mchungaji  wa kanisa la Baptist Kinondoni,Samweli Kabonaki leo usiku katika ibada ya kuuaga  mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019,iliyoanza saa 3 usiku na kufika tamati saa 6 usiku.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)


 


Wanakwaya wakitoa huduma  katika  mkesha wa mwaka mpya uliofanyika katika  kanisa la Baptist Kinondoni B jijini Dar es Salaam.
 Ibadaa ikiendelea

Waumini wa kanisa la Baptist Kinondoni B wakiendeleza sherehe za kuupokea mwaka 2019 na kuuaga mwaka 2018 leo  usiku kwenye ibada  ya kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019,iliyoanza saa 3 usiku na kufika tamani saa 6 usiku.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad