HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 30 January 2019

HOSPITALI YA KANDA MBEYA YATIMIZA NDOTO ZA UPENDO TABELA MLEMAVU WA MACHO KUTOKA MBOZI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya Dkt Paul Lewala(mwenye Miwani) akimkabidhi Vifaa vya ushonaji kwa Upendo Tebela Mlemavu wa Macho kutoka wilayani Mbozi.  Kushoto ni Katibu wa Hospitali Ms Mryiam Msalale na Muuguzi Mkuu Petro Seme(mwenye Kaunda suti)

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda mbeya, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali Dkt Paul Lewala(mwenye Miwani), Katibu wa Hospitali Ms Mryiam Msalale, Muuguzi Mkuu Petro Seme(mwenye Kaunda suti) na wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja na Ndugu Upendo Tebela.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad