MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM DAR ES SALAAM LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 18 December 2018

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018
  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akiongea kabla ya ufunguzi wa  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018.
 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha  kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad