HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 14 November 2018

MAKAMU WA RAIS ANEDELEA NA ZIARA YAKE HAI, AMSABAHI BIBI SIFAELI KUNDASHUMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bibi Sifaeli Kundashuma ambaye ni mmoja walioshiriki katika tukio la kuchanganya mchanga wakati wa Muungano wa Tanzanyika  na Zanzibar.Makamu wa Rais yupo wilayani Hai kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua wodi ya Wanawake katika hospitali ya wilaya ya Hai. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad