HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 19 October 2018

PONGEZI KWA BRENDA SAMALU

Familia ya Bibi  na Bwana Jimmy Samalu wa Dar es salaam inapenda kumpongeza binti yao mpendwa Brenda Samalu kwa kumaliza Shahada yake ya awali ya uchumi na mahesabu (Bachelor of Science in Economics and Mathematics) katika Chuo kikuu cha Memorial kilichopo St. John's Newfoundland  nchini Canada.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad