HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 8 October 2018

NHIF TANGA WATUMIA WIKI YA WATEJA KUSIKILIZA MAONI,USHAURI NA KERO ZINAZOWAKABILI KATIKA VITUO VYA HUDUMA ZA AFYA

 MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto wakiwa na wateja wao wa benki ya NMB wilayani Handeni kupata ushauri ,malalamikona changamoto wanazozipata watumishi hao katika kupata huduma za bima ya afya kwenye vituo vya kutolea huduma ikiwa ni wiki ya wateja
Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza akizungumza jambo kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu Sehemu ya watumishi wa Benki ya NMB wakifuatilia kwa umakini
 MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akiwa na wakiwa na wateja wao wa benki ya NMB wilayani Handeni kupata ushauri ,malalamikona changamoto wanazozipata watumishi hao katika kupata huduma za bima ya afya kwenye vituo vya kutolea huduma ikiwa ni wiki ya wateja
Sehemu ya watumishi wa NMB wilayani Handeni wakimsikiliza kwa umakini Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad