HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 1 October 2018

ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV


Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Issack Kamwelwe (wa pili kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni 80 kutoka kwa Meneja jamii endelevu wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, Bw. Richard Ojendo ikiwa ni kama rambirambi kwa ajili ya kusaidia shughuli za kuhudumia wahanga wa ajali pamoja na mkono wa pole kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa juma visiwani Ukerewe jijini Mwanza.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (wa pili kulia) na wadau wa ACACIA mara baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa juma visiwani Ukerewe jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad