HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 25 September 2018

WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheiri akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa ndani ya kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Maalim akijibu maswali ndani ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
 Naibu Waziri Wizara ya Biashara na Viwanda Hassan Hamis Hafidh akijibu maswali ndani ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
 Naibu Waziri Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Lulu Msham Abdalla akijibu maswali ndani ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar..
 Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza akiwa ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi akisikiliza michango mbalimbali inayotolewa na wajumbe katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
 Muakilishi wa Jimbo la Chake chake Suleiman Sarahan Said kushoto akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Pangawe Khamis Juma Mwalim ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akiwa na wageni wake Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Mahotelini na Majumbani CHODAU nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani  Zanzibar . 
 Muakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Mohammed Said akiwa ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi akisikiliza na kujadili miswada mbalimbali inayopitishwa katika kikao kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
 Muakilishi wa Jimbo la Mfenesini Machano Othman Said akiuliza maswali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma(katikati) akiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza kushoto wakibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Dimani Dkt,Mwinyihaji Makame Mwadini nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Wananchi pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria kufuatilia michango na mijadala mbalimbali ya kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad