HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 13 September 2018

DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA

 Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (kushoto) akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Sihaba Nkinga(kulia)  katika Ofisi za Wizara mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo katika Ikulu ya Chamwino Dodoma jana.
  Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (kushoto) na aliyekuwa Katibu Mkuu Sihaba Nkinga(kulia) wakijadiliana jambo  baada ya kukabidhiana  Ofisi  mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo katika Ikulu ya Chamwino Dodoma jana.
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (kushoto)  akiwa katika picha ya pamoja  na aliyekuwa Katibu Mkuu  Sihaba Nkinga (kulia) baada ya kukabidhiana Ofisi mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo katika Ikulu ya Chamwino Dodoma jana. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad