Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza (Department
of International Development - DFID - ) Mhe. Penny Mordaunt
aliyemtembelea akiwa ameongozana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe.
Sarah Cooke, na Mkuu wa ofisi ya DIFD nchini Mama Beth Arthy Ikulu
jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa
zawadi ya kinyago cha "Umoja" Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa
Uingereza (Department of International Development - DFID - ) Mhe. Penny
Mordaunt aliyemtembelea akiwa ameongozana na Balozi wa Uingereza nchini
Mhe. Sarah Cooke, na Mkuu wa ofisi ya DIFD nchini Mama Beth Arthy Ikulu
jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Mkuu wa
ofisi ya DIFD nchini Mama Beth Arthy aliyeongozana na Waziri wa
Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza (Department of International
Development - DFID - ) Mhe. Penny Mordaunt na Balozi wa Uingereza nchini
Mhe. Sarah Cooke, walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 10, 2018 Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke
aliyeongozana na , Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza
(Department of International Development - DFID - ) Mhe. Penny Mordaunt
aliyemtembelea akiwa ameongozana pia na Mkuu wa ofisi ya DIFD nchini
Mama Beth Arthy Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuonesha albamu ya picha Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa
Uingereza (Department of International Development - DFID - ) Mhe. Penny
Mordaunt inayoonesha Shule ya Sekondari ya Ihungo iliyobomolewa kabisa
na Tetemeko la Ardhi mkoani Kagera lililotokea Septemba 10, 2016 ambayo
imejengwa upya na serikali ya Uingereza kupitia mpango wake wa maendelo
ya elimu kupitia UKAid/DFID. Picha hizo zinaonesha shule hiyo baada ya
tetemeko, wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi siku ya mwaka mpya wa 2017
na inavyoonekana sasa baada ya kujengwa upya. Mhe. Mordaunt, ambaye
yuko nchini kwa ziara ya kikazi, alimtembelea Rais Dkt. Magufuli akiwa
ameongozana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, na Mkuu wa
ofisi ya DIFD nchini Mama Beth Arthy Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 10, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na wanahabari kuishukur serikali ya Uingereza kwa misaada yake
mbalimbali ikiwemo Shilingi Bilioni 307 kwa kuunga mkono juhudi zake za
kuopambana na rushwa pamoja na kuboresha sekta za afya na elimubaada ya
kukutana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza (Department
of International Development - DFID - ) Mhe. Penny Mordaunt
aliyemtembelea akiwa ameongozana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe.
Sarah Cooke, na Mkuu wa ofisi ya DIFD nchini Mama Beth Arthy Ikulu
jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo wakati akiongea na wanahabari kuishukuru serikali ya
Uingereza kwa misaada yake mbalimbali ikiwemo Shilingi Bilioni 307 kwa
kuunga mkono juhudi zake za kuopambana na rushwa pamoja na kuboresha
sekta za afya na elimu.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment