Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa 
Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha 
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba 
jijini Dar es Salaam leo tarehe 14/08/2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally Kakurwa mara baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 14/08/2018. PICHA NA IKULU
 

 
 



 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment