HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 19 August 2018

MAELFU WAFURIKA KATIKA TAMASHA LA KOMAA CONCERT NA EFM JIJINI DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na Wakazi wa Dar es Salaam juu ya umuhimu wa kutunza amani tuliyonayo na umoja wetu kama watanzania wakati wa Tamasha kubwa la Komaa Concert lililoandaliwa na kituo cha Radio cha EFM  katika Viwanja vya Tanganyika Parkers, Kawe

Msanii wa Muziki wa Hip Pop Nchini Roma Mkatoliki akiimba na kundi kubwa la Mashabiki wake waliofika katika Tamasha la Komaa Concert kwenye Viwanja vaya Tanganyika Parkers Dar es Salaam

Msanii wa Bongo Fleva Mr Blue akiimba kwa hisa mbele ya Mashabiki wake waliofika katika tamasha la Komaa Concert katika Viwanja vya Tanganyika Parkers Dar es Salaam
 Msanii wa Hip Pop Nchini Yound D akiimba katika jukwa ala Komaa Concert Lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Parkers Kawe Jijini Dar es Salaam
 Msanii wa Bongo Fleva Amber Lulu akiimba mbele ya Mashabiki wa Jiji la Dar es Salaam waliofika katika shoo ya Komaa Concert iliyofanyika jijini Dar es Salaam
 Muimbaji Maharufu wa kike katika Mziki wa Bongo Fleva Nandy akiimba na Mashabiki kwenye Tamasha la Komaa Concert Lililoandaliwa na kituo cha Radio cha Efm katika Viwanja vya Tanganyika Parkers
 Msanii wa Bongo Fleva Madee Ally akiimba wakati wa Tamasha la Komaa Concert liliandaliwa na kituo ch aRdaio cha Efm katika Viwanja vya Tanganyika Parker's kawe.
 Msanii wa Muziki wa Singeli Manfongo akiimba mbele ya Maelefu ya Mashabiki ambao waliofika katika Tamasha la Komaa Concert Kawe
Umati wa Mashabiki waliofika katika Tamasha la Komaa Concert

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad