
Mgeni rasmi, Jaji mstaafu, Thomas Mihayo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya GT, Juma Muhimbi (katikati) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Jubril Adeniji (kushoto), mjumbe wa bodi, Dkt. Florence Temu (wa pili kushoto) na Mjumbe wa Bodi, Francis Nanai (kulia) kwa pamoja wakikata keki wakati wa hafla ya utambulisho wa benki hiyo mpya kwa wateja wake, iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi zake zilizopo Morocco jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya GT, Juma Muhimbi (kushoto) akigonganisha glasi na Mjumbe wa bodi Francis Nanai wakati wa hafla hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Jubril Adeniji

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya GT, Juma Muhimbi,akizungumza wakati wa hafla hiyo.


Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Dkt. Sahabi Gada, akisalimiana na mjumbe wa bodi ya benki hiyo, Dkt. Florence Temu wakati alipowasili ukumbini hapo.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo,Jaji mstaafu Thomas Mihayo,akihutubia wafanyakazi na wateja waliohudhuria hafla hiyo.

Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakifurahi kwa pamoja


Viongozi wakipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu


Utambulisho wa baadhi ya viongozi wa benki hiyo

Mc akigonganisha glasi na mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo

Viongozi wakigonganisha glasi

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugeni, Juma Muhimbi akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, ambaye ni mratibu wa hafla hiyo

Wafanyakazi wakigonganisha glasi

Mgeni rasmi na Mc wakigonganisha glasi

Selfie zilihsika pande hizi kwa baadhi ya wafanyakazi


Picha ya kumbukumbu






Twanga fotooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment