HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 9 July 2018

WAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA BANDA LA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akisikiliza jinsi Kikosi cha Usalama Barabarani kinavyopambana na ajali kutoka kwa Koplo wa Jeshi la Polisi, Faustina Ndunguru, alipotembelea Maonyesho ya 42  ya Biashara ya Kimataifa ,yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swali  Sajenti Wilberth Binamungu,jinsi wanavyotumia kifaa cha kupima ulevi kwa madereva, alipotembelea Maonyesho ya  42  ya Biashara ya Kimataifa ,yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage (kulia), akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(katikati),walipotembelea  Maonyesho ya  42  ya Biashara ya Kimataifa ,yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad