HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 3, 2018

TPA YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHI SABA WANAOTUMIA BANDARI ZA TANZANIA

Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Atashasta Nditiye akizungumza kuhusu Serikali wanavyopanua wigo wa kutoa huduma kupitia bandari za Tanzania wakati wa ufunguzi wa kongamano la TPA na wafanyabiashara wanaotumia bandari za Tanzania kutoka nchi za Rwanda, Uganda, Burundi, Congo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Zambia, Malawi na Comoro uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Profesa Ignatus Rubaratuka akizungumzia jinsi bandari za Tanzania zilivyojipanga imara kutoa huduma kwa wateja wao bila kuleta malalamiko kwa wateja wao ili kukuzu kipato cha nchi kupitia bandari hizo wakati wa kongamano la wafanyabiashara wanaotumia bandari za Tanzania kutoka nchi saba ulioandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA) ili kuongeza ufanisi kwenye utendaji wa wabandari za hapa nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara wanaotumia bandari za Tanzania kutoka nchi saba ulioandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA) ili kuongeza ufanisi kwenye utendaji wa wabandari za hapa nchini.

Baadhi ya wafanyabiashara pamoja na wadau wa mbalimbali wanaotumia bandari ya Tanzania kutoka nchi saba wakiwa kwenye kongamano la wafanyabiashara wanaotumia bandari za Tanzania kutoka nchi saba ulioandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA.


Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Atashasta Nditiye akiwa kwenye picha na wafanyabiashara kutoka nchini saba pamoja na wadau wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Atashasta Nditiye akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kongamano la wafanyabiashara wanaotumia bandari za Tanzania kutoka nchi saba.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye kongamano hilo.
Mwakilishi Mkazi wa Azania Group Rwanda na Burundi, Mpagaze Jerome akizungumza na waandishi wa habari kuhusu faida pamoja na changamoto wanazozipata kwa kutumia badari za hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad