HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 14, 2018

POLISI WASTAAFU WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO

 Mwenyekiti wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) Kamishna mstaafu Suleiman Kova akizungumza katika ufunguzi wa semina ya wastaafu hao ambapo walipatiwa elimu ya kupata mikopo ya kustaafu na benki ya Azania (Picha na Jeshi la Polisi)
 Meneja wa huduma za mikopo kutoka benki ya Azania Thobias Samwel akizungumza na wanachama wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) wakati wa semina maalum ya kuwapatia elimu ya kupata mikopo ya kustaafu.
Wanachama wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa semina maalum ya kuwapatia elimu ya kupata mikopo ya kustaafu iliyotolewa na benki ya Azania wakati wa kikao chao jijini Dar es Salaam(Picha na Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad