HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 4 July 2018

NIDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA NDANI YA MAONYESHO YA SABASABA


Afisa Habari wa RITA Jaffar Malema akiendelea na zoezi la kuita majina kwa ajili kuwapatia vyeti vya kuzaliwa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Maafisa wa RITA wakiwa wanatoa huduma kwa wananchi waliojitokeza katika banda hilo kupata huduma ya vyeti vya kuzaliwa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Wananchi waliojitokeza katika Banda la Mamlaka ya Vitambulisho ya Taifa (NIDA) kwa ajili ya kujipatia huduma za vyeti vya kuzaliwa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)Wananchi waliojitokeza katika Banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA kwa ajili ya kujipatia huduma ya vitambulisho vya Taifa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad