HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 16 July 2018

KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA UCHAPAJI NYARAKA ZA UHAMIAJI, KILICHOPO MTONI KIJICHI, JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(wapili kutoka kushoto), akimsikiliza Mchapaji wa nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,Enos Lwinga, wakati alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Wakwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(wapili kutoka kushoto), akimsikiliza Mhakiki  wa nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,Prosper Kikoti, wakati alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Watatu  kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala .
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akikagua  nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,  alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Kulia  ni  Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala .
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala, akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(kushoto), wakati waziri alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam .
Mtumishi wa Idara ya Uhamiaji ,Eva Kikoti  akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), wakati waziri alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam . Kulia  ni  Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad