Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Huduma Shirikishi) wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga (wa tatu kushoto) akikata keki katika sherehe maalum kwa wateja wa Akaunti ya Malkia wa Benki hiyo tawi la Oysterbay, iliyofanyika mwishoni mwa wiki ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake. Kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Juliana Mhimbira.

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Juliana Mhimbira akizungumza na baadhi ya wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki hiyo tawi la Oysterbay,
ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao.
hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya GS1, Fatma Kange akizungumza jambo wakati akitoa maja ya ujasiriamali kwa wanawake ambao ni wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Oysterbay,
ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao.
hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment