HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 24 June 2018

PROFESA KAMUZORA AKAGUA UJENZI MRADI WA MAFNO ILmis MANISPAA YA KINONDONI

 Katibu  Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora  akieleza jambo kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamini Sitta wakati wa ziara fupi  kukagua ujenzi wa chumba kitakachotumia Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi (ILMIS)  katika Mradi wa Mfano Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa ziara fupi kukagua ujenzi wa chumba kitakachokuwa kinatoa huduma za Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi (ILMIS)  katika Mradi wa Mfano Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora  akioneshwa namna jalada ambalo taarifa zake tayari zimeshafanyiwa kazi na mfumo huo linavyoonekana katika Mradi wa Mfano unaotekelezwa katika Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad