HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 30, 2018

Makamu wa Rais awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika . 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad