HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 11 April 2018

VIDEO:WATU 29 WAFARIKI KWA AJALI ZA BARABARANI KWA KIPINDI CHA MIEZI MITATU MKOANI RUVUMA

Watu zaidi ya 29 wamepoteza maisha huku 42 wakiwa wamepata majeraha mbalimbali kutokana na ajali zilizotokea mkoani wa Ruvuma kwa kipindi cha miezi mitatu kwa mwaka 2018.
Huku sababu kubwa za ajali hizo zikitajwa ubovu wa miundombinu pamoja na malipo madogo kwa baadhi ya madereva.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad