HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 24 April 2018

RAIS WA BUNGE LA AFRIKA AKUTANA NA SPIKA NDUGAI PAMOJA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (wa pili kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) na Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia)
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.    (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad