HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 6, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AELEKEA MKOANI MANYARA LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Marubani wa Ndege ya abiria ya ATCL wakati akielekea kupanda ndege hiyo kuelekea mkoani Kilimanjaro na badae mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL kuelekea mkoani Kilimanjaro na baadae mkoani Manyara. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad