HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 5, 2018

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa     Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kushoto) ,  Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bibi Maimuna Tarishi (wapili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa Faustin Kamuzora (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 5, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018. 
  Waziri wa Nchi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama (kushoto) akiwa  na mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad