HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 4 March 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIWA ZIARANI JIMBONI RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akizungumza na mzee Omar Issa, katika Kata ya Narungombe, Wilayani Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani humo kwa Ziara yake ya kikazi jimboni Machi 4,  2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na wazee Omar Issa (kulia) na mzee Mussa Lambamba (katikati) katika Kata ya Narungombe, Wilayani Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani humo kwa Ziara yake ya kikazi jimboni Machi 4,  2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akisalimiana na Diwani wa kijiji cha Chikwale kata ya Mbwemkulu, Wilayani Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani humo kwa Ziara yake ya kikazi jimboni Machi 4,  2018.
Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Chikwale kata ya Mbwemkulu, Wilayani Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani humo kwa Ziara yake ya kikazi jimboni Machi 4,  2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad