HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 20 March 2018

TAZAMA SHEREHE ZA MKOMAULA KABILA LA WAYAO MKOANI RUVUMA

Kulia ni Sultani Mataka ambaye ni sultani wa tano wa kabila la Wayao Tanzania akisalimiana na Mwandishi wa Ruvuma TV Nancy Mbogoro

Kupitia kipindi cha Utalii cha Talii na Ruvuma TV tumekuandalia kipindi maalum kinachohusu Sherehe za asili za kabila la Wayao katika mkoa wa Ruvuma, Sherehe hizi zinakwenda kwa jina la Mkomaula, Sherehe hizi hufanyika kila mwaka na kuongozwa na Sultan Mataka ambaye ni Sultan wa tano wa kabila la Wayao Tanzania. Hii hapa chini Video yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad