HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 13 March 2018

DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Lulu Msham Abdalla kuwa Naibu Waziri wa  Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo  wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Shaaban Seif .Balozi Mohammed  kuwa    Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais   katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Idriss Musilim Hija kuwa    Katibu Mkuu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha    Bibi Khadija Bakari Juma  kuwa  Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Dkt.Saleh Yussuf Mnemo  kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia masuala ya Habari, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Dkt.Amina Ameir Issa, kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia masuala ya Utalii na mambo ya Kale, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha    Bw.Omar Hassaan Omar   kuwa Katibu Mkuu   Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha    Bw.Amour Hamil Bakar kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Kamishana wa ZRB.
[Picha na Ikulu,] 13/03/2018. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad