HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 10 March 2018

CRDB TAWI LA VIVA WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUWAHAMASISHA WANAWAKE KUFUNGUA AKAUNTI YA MALKIA

WAFANYAKAZI benki ya CRDB tawi la VIVA jijini Dar es Salaam washeherekea siku ya mwanamke duniani kwa kuwahamasisha akina mama na wanawake kwa ujumla kufungua akaundi ya Malkia kwaajili ya kujiwekea akiba zao.

Hii ni sawa na kibubu cha wanawake ambapo kila mmoja anaweza kuweka akiba yake ndani ya mwaka mmoja pamoja na kupata faida.
Hii inaleta amani ya moyo kwakuwa akiba inakuwa salama pamoja na kuwa na kinga yake ni imara.

Pia tujifunze kwa baadhi ya wanawake waliofanikiwa ili kila mwanamke afanikiwe kwa kufanyka kazi kwa bidii zaidi na kutumia utashi katika kufanya shughuli zetu mbalumbali.
 Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawila Viva waiwa na mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la VIVA, Naomi Mwamfupe akizungumza na wanawake wa Benki hiyo jijin Dar es Salaam jana wakati wakisheherekea siku ya wanawake duniani.

Baadhi ya wanawake wakiungana na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la VIVA jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wanawake wakiwa katika benki ya CRDB tawi la Viva jijini Dar es Salaam wakisheherekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 kila mwaka kwaajili ya kujua mchango wa mwanamke katika nafasi mbalimbali za ajira pamoja na kujua dhamani ya Mwanamke katika jamii.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB  tawi la VIVA jijii Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakisheherekea siku ya wanawake duniani.
 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la VIVA, Ester Kitoka akizungumza na wanawake wakati wakisheherekea siku ya mwanamke duniani iliyofanyika katika tawi la VIVA.
 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la VIVA, Ester Kitoka akizungumza na wanawake waliungana pamoja na kuzungumza namna mwanamke anaweza kuhifadhi pesa zao kwa kufunguua akaunti ya Malkia.
Injinia wamajengo na barabara na Mjasiliamali na Maida waziri akizungumza wakati wa kusheherekea siku ya wanawake duniani ambay hufanyika kila Machi 8 kila mwaka . pia amewahamasisha vijama pamoja na kinamama kujiamini wakati wakifanya shughuli zao za maendeleo.
 Mgeni rasmi GeminaLukuvi akizungumza wakati wa benki ya CRDB tawi la VIVA wakisheherekea siku ya wanawake dunia pamoja na kuwapa ushauri jinsi ya kuhifadhi pesa zao za akiba.
Mama Mstaafu, Randy Mkoji akizungumza na wanawake na kuwasiii wasiogope kustaafu kwani kustaafu kunaanza sasa. Pia amesema  kuwa wanawake wanaweza kujiandaa vyema juu ya wanawake kufanya kazi wakiwa vijana wakizeeka ni wakati wa kupumzika pamoja na kufanya mazoezi tuu kwaajili ya afya ya mstaafu.


Mkurugenzi wa mteja mmoja mmoja wa benki ya CRDB tawi la VIVA (Retail), Farida Hamza akizungumza na wanawake  wakati wa kusheherekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila mwaka Machi 8.


Burudani Ikiiendelea

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad