HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 25, 2018

Bonanza la Castle Africa 5s lafanyika Mwembe Yanga jijini Dar

Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (kushoto) akizungumza na wachezaji (hawapo pichani) wakati wa Bonanza la Castle Africa 5s(5- aside) lililofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo ataiwakilisha inchi ya Tanzania katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Zambia.
Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (wa pili kulia) akishangilia na baadhi ya wachezaji wa Makuti kutoka Kitinda mara baada ya kufuzu kuingia hatua ya robo fainali na kukabidhiwa zawadi ya kreti la Bia za Castle Lager wakati wa Bonanzala Castle Africa 5s lililofanyika Uwanja wa Bulyaga Temeke jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo ataiwakilisha inchi ya Tanzania katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Zambia.
Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (kulia) wakiteta jambo na Mtangazaji wa Cloud’s, Shaffih Dauda walipotembelea Bonanza la Castle Africa 5s(5- aside) lililofanyika Uwanja wa Bulyaga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo ataiwakilisha inchi ya Tanzania katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyka Zambia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad