HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 20 February 2018

VIDEO:RTO RUVUMA KUFANYA OPARESHENI YA MADEREVA WASIO NA SIFA

Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mratibu Abeli Swai amewataka madereva pikipiki na magari mkoani ruvuma kufuata sheria za usalama barabarani ili kupunguza ajali zinazotokea ambazo chanzo chake kikubwa zinasababishwa na matumizi mabaya ya barabara

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad